Definitions
Sorry, no definitions found. Check out and contribute to the discussion of this word!
Etymologies
Sorry, no etymologies found.
Support
Help support Wordnik (and make this page ad-free) by adopting the word siyo.
Examples
-
Haya siyo mabomu, bali nia surface-to - air missiles za kutungulia ndege, pia sitashangaa kama kuan surface-to-surface missiles ambazo zaweza kufyatuliwa na mzinga wenye midomo 20, hiyo kuruka kwa mpigo ktk uwanja wa vita.
Global Voices in English » Tanzania: Dar es Salaam Armoury Explosion Death Toll Rises 2009
-
Wakiambiwa waondoke hawataki na wanaenda hadi mahakamani! makambi kuwepo mjini siyo tatizo, maana hata nchi za wenzetu hilo hilo lipo tena wana mambo ya hatari zaidi ya maghala ya silaha!,
Global Voices in English » Tanzania: Dar es Salaam Armoury Explosion Death Toll Rises 2009
-
Mtandao huu wa ze utamu umkuwepo kwa muda mrefu sana na watu wengi wasio na hatia (raia wa kawaida) wamedhalilishwa sana kupitia mtandao huo kwa picha zao kuwekwa bila ridhaa yao. nyingi ya hizo picha ni za utupu na hata zile ambazo siyo za utupu ziliwekwa bila ridhaa ya wahusika. hivi kuwekwa picha ya rais Kikwete ndo kile chombo kinachojifanya cha usalama kinakurupuka kuwasaka wenye mtandao?
Global Voices in English » Tanzanian blogger faces jail term over manipulated photographic images 2009
-
Siyo dada yangu kwa kweli, lakini anafanana na mimi, au siyo?
Anakuja! A. Bennett 2008
-
Siyo dada yangu kwa kweli, lakini anafanana na mimi, au siyo?
Archive 2008-10-01 A. Bennett 2008
Comments
Log in or sign up to get involved in the conversation. It's quick and easy.